click below
click below
Normal Size Small Size show me how
Swahili Unit 5
Swahili | English |
---|---|
Boyolojia | Biology |
Daftari | Notebook |
Madaftari | Notebooks |
Daktari | Doctor |
Madaktari | Doctors |
Darasa | Classroom |
Madarasa | Classrooms |
Disketi | Diskette(s) |
Fizikia | Physics |
-geni | Foreign |
-gumu | Hard, difficult |
Hesabu, hesabati | Math |
Historia | History |
Jiografia | Geography |
Kalamu | Pen(s) |
Kama | If, when |
Kemia | Chemistry |
Kifaa | Item |
Vifaa | Items |
Kuandika | To write |
Kufanya jarbio/mtihani | To take a test |
Huhitaji | To need |
Kukumbuka | To remember |
Kumaliza | To finish |
Kununua | To buy |
Kupumzika | To rest, to relax |
Kusoma | To study, to read |
Likizo | Break(s), vacation(s) |
Lugha | Language(s) |
mtihani | Exam |
mitihani | exams |
penseli | pencil(s) |
rangi | color(s) |
somo | subject |
masomo | subjects |
uchumi | economics |
wakiti | time |
nyakati | times |
zaidi | more |
zoezi | exercise |
mazoezi | exercises |
Mimi ni mwanafunzi katika chuo kikuu. | I'm a student at the university. |
Nitamaliza masomo./Nitahitimu mwaka huu. | I'll graduate this year. |
Dada yangu yuko shule ya msingi. | My sister is in elementary school. |
Mtihani wa kumaliza masoso ya shule ya sekondari ni mgumu. | The secondary school final exam is difficult. |
Unapenda somo gani zaidi? | What's your favorite subject? |
Masomo ya lugha ni muhimu. | Language studies are important. |
Ninahitaji kompyuta mpya. | I need a new computer. |
Unafanya mtihani gani? | Which exam are you taking? |
Lazima nisome kwa ajili ya mtihani. | I have to study for my exam. |
Nilipumzika wakati wa likizo. | I rested during the break. |
Nimefaulu mtihani! | I passed my exam! |
thelathini | 30 |
arobaini | 40 |
hamsini | 50 |
sitini | 60 |
sabini | 70 |
themanini | 80 |
tisini | 90 |
mia | 100 |
elfu | 1000 |