click below
click below
Normal Size Small Size show me how
Swahili Unit 11
Swahili | English |
---|---|
*sidiromu | CD-ROM |
*barua pepe | email(s) |
Endelea! | Continue! |
faili | file |
mafili | files |
hali | situation, status |
huru | free |
*keyboard | keyboard(s) |
kifaa | tool, accessory |
vifaa | tools, accessories |
kompyuta ya mkononi | laptop computer |
kompyuta za mkonoi | laptop computers |
kuangalia | to watch, to look at |
kuangalia email | to check email |
kuchapisha | to print |
kufugua faili | to open a file |
kuhifadhi faili | to save a file |
kuhusu | about |
kuingia katika tovuti | to log onto a webstie |
kupatikana | to be available |
kutembelea | to visit |
kutengeneza | to manufacture |
kutema | to sen |
kutma ujumbe | to send a message |
kuweka | to put |
kuzoea | to be used |
*mashine ya kuchapisha | printer |
*mashine za kuchapisha | printers |
mawasiliano | communication |
neno la siri | password |
ng'ambo | overseas |
picha | picture(s) |
samahani | excuse me, I'm sorry |
*kioo cha kompyuta | screen |
*vioo vya kompyuta | screens |
tabu | problem, harship |
tovuti | website |
tu | just, only |
uhuru | freedom |
*waraka | document |
*nyaraka | documetns |
*word processor | word processor |
-zima | healthy, whole, complete |
Ningependa kutma email. | I would like to send an email. |
Anuani yako ya email ni ipi? | What is your email address? |
Wapi nitaweza kupata mtandao? | Where can I get onto the internet? |
Mnatumia brazua gani? | Which browser do you use? |
Anuani ya tovuti ni ipi? | What's the URL? |
Una ukuasa wako? | Do you have a personal homepage? |
Kampuni yako ina tovuti? | Does your company have a website? |
Hoteli ina huduma za mtandao? | Does the hotel have internet access? |
Nimehifadhi faili katika folda jipya. | I saved the file in a new folder. |
Tafadhali tuma kwa kiambatisho. | Please send it as an attachment. |
Ningependa kuchapisha waraka. | I'd like to print a document. |
Una printa ya rangi? | Do you have a color printer? |
Ninatumia PC kazini na Apple nyumbani. | I use a PC at work and an Mac at home. |