click below
click below
Normal Size Small Size show me how
Swahili Unit 13
Swahili | English |
---|---|
-a kufurahisha | pleasant, enjoyable |
amali | profession(s) |
askari wa zimamoto | fireman(s) |
biashara | business(es) |
bosi | boss(es) |
daktari wa meno | dentist |
madaktari wa meno | dentists |
daktari | doctor |
madaktari | doctors |
dereva wa basi | bus driver(s) |
fotokopi | photocopy(ies) |
fudni | mechanic |
mafundi | mechanics |
fundi bomba | plumber |
mafundi bomba | plumbers |
fundi umeme | electrician |
mafundi umeme | electricians |
kabati | filing cabinet |
makabati | filing cabinets |
kampuni | company(ies) |
karibu na | close to, near |
katibu muhutasi | secretary(ies) |
kazi | job(s), work |
kitabu cha anuani | address book |
vitabu vya unauni | address books |
kitabu cha tarehe | planner |
vitabu vya tarehe | planners |
kuacha ujumbe | to leave a message |
kuajiri | to hire |
kuandika ripoti | to write a report |
kuchukua ujumbe | to take a message |
kufanya kazi | to work |
kufurahisha | to please |
kuhitaji | to need |
kukaribisha | to welcom |
kuonyesha | to show |
kupanga miadi | to schedule an appointment |
kupiga chapa | to type |
kumpuzika/ kuenda kupumizko | to take a break |
kushughulika | to be busy |
kwenda mkutanoni | to go to a meeting |
lazima | must |
mashine ya faksi | fax machine |
mashine za faksi | fax machines |
mazingira | environment(s) |
mbele ya | in front of |
meza | desk(s) |
mfanyabiashara | businessperson |
wafanyabiashara | businesspeople |
mhandisi | engineer |
wahandisi | engineers |
mkurufunzi | intern |
wakurufunzi | interns |
mkulima | farmer |
wakulima | farmers |
mkurugenzi | director |
wakurugenizi | directors |
mkutano | meeting |
mikutano | meetings |
msanii | artist |
wasanii | artist |
mvinjari | umemployed |
muhimu | important |
mwalimu | teacher |
walimu | teachers |
mwanamuziki | musician |
wanamuziki | musicians |
mwanasheria | lawyer(s) |
mwandishi | writer(s) |
mwandishi wa habari | journalist(s) |
mwenza | colleague |
wenza | colleagues |
mwigizaji | actor |
waigizaji | actors |
mwimbaji | singer |
waimbaji | singers |
mwuguzi | nurse |
wauguzi, nesi | nurses |
mwuzaji | salesperson |
wauzaji | salespeople |
nyuma ya | behind |
ofisi | office(s) |
polisi | police officer(s) |
ripoti | report(s) |
rubani | pilot |
marubani | pilots |
seremala | carpenter(s) |
shubaka | drawer |
mashubaka | drawers |
simu | telephone(s) |
ujumbe | message(s) |
ukumbi wa mkutano | meeting room |
kumbi za mkutano | meeting rooms |
vizuri | well |
Unafanya kazi gani? | What is your profession? |
Nimepata kazi mpya. | I got a new job. |
Ninafanya kazi katika kampuni kubwa. | I work for a large company. |
Nimeacha kazi. | I quit my job. |
Una uzoefu gani? | What experience do you have? |
Umefanya kazi hii mudu gani? | How long have you had your job? |
Huu hapa wasifu wangu. | This is my resume. |
Tafadhali fanya fotokopi ya waraka huu. | Please make a photocopy of this document. |
Lazima iandika ripoti. | I have to write a report. |
Nina miadi saa saba na nusu. | I have an appointment at 7:30. |
Lazima nienda mkutanoni sasa. | I must go to a meeting now. |
Kufundisha ni kugumu. | Teaching is hard. |
Kitakupeleka umwone. | I'll take you to see him/her. |
Nitafurahi kumwona. | I'm happy to see him/her. |