click below
click below
Normal Size Small Size show me how
Swahili Verbs (all)
Lots of Swahili verbs (declinated + Infinitive forms) - all
English translation | Swahili translation |
---|---|
I can accept that | Naweza kukubali kwamba |
she added it | aliongeza kuwa |
we admit it | tunakubali |
they advised him | walimshauri |
I can agree with that | nakubaliana na hayo |
she allows it | anaruhusu |
we announce it | tunatangaza |
I can apologize | naomba msamaha |
she appears today | anaonekana leo |
they arranged that | walipanga hivyo |
I can arrive tomorrow | nitawasili kesho |
she can ask him | anaweza kumuuliza |
she attaches that | yeye huunganisha hiyo |
we attack them | sisi huwashambulia |
they avoid her | wamamuepuka |
I can bake it | naweza kuipikia |
she is like him | yeye ni kama yeye |
we beat it | tuliipiga |
they became happy | walifurahi |
I can begin that | nawesza kuanza |
we borrowed money | tulikopa pesa |
they breathe air | wanapumua hewa |
I can bring it | nitaileta |
I can build that | naweza kuijenga |
she buys food | yeye hununua chakula |
we calculate it | sisi hufanya hesabu hii |
they carry it | wao huibeba |
they don't cheat | hawadangayi |
she chooses him | yeye humchagua |
we close it | sisi huifunga |
he comes here | yeye huja hapa |
I can compare that | naweza kuilinganisha |
she competes with me | yeye hushindana nami |
we complain about it | sisi hulalamika juu yake |
they continued reading | waliendelea kusoma |
he cried about that | alilia juu yake |
I can decide now | naweza kuamua sasa |
she described it to me | alinielezea kuhusu |
we disagree about it | sisi hatukubaliani |
they disappeared quickly | walitoweka haraka |
I discovered that | niligundua kwamba |
she dislikes that | yeye hapendi |
we do it | sisi hufanya |
they dream about it | wao huota juu yake |
I earned | nimelipwa |
he eats a lot | yeye anakula sana |
we enjoyed that | sisi tulifurahia |
they entered here | waliingia hapa |
he escaped that | aliepuka hiyo |
I can explain that | siwezi kueleza hayo |
she feels that too | anahisi hivyo pia |
we fled from there | sisi tulitoroka toka huko |
they will fly tomorrow | wataondoka kwa ndege kesho |
I can follow you | naweza kukufuata |
she forgot me | alinisahau |
we forgive him | tumemsamehe |
I can give her that | naweza kumpa hiyo |
she goes there | yeye huenda huko |
we greeted them | tulimsalimu |
I hate that | nadharau hiyo |
I can hear it | Naweza kusikia |
she imagine that | yeye hufikiri hivyo |
we invited them | tuliwakaribisha |
I know him | Mimi namjua |
she learned it | alijifunza |
we leave now | twaondoka sasa |
they lied about him | walimsingizia |
I can listen to that | naweza kusikiliza |
she lost that | alipoteza |
we made it yesterday | tulifaulu jana |
they met him | walikutana naye |
I misspell that | siandiki vyema |
I always pray | mimi husali |
she prefers that | anapendelea hiyo |
we protected them | tuliwatunza |
they will punish her | watamuadhibu |
I can put it there | naweza kuiweka pale |
she will read it | ataisoma |
we received that | tulipokea hiyo |
they refuse to talk | wanakataa kuongea |
I remember that | nakumbuka hayo |
she repeats that | anarudia hiyo |
we see it | tunaona |
they sell it | tunaiuza |
I sent that yesterday | nilituma hiyo jana |
he shaved his beard | alimnyoa ndevu |
it shrunk quickly | ilipungua haraka |
we will sing it | tutuimamba |
they sat there | walikaa hapo |
I can speak it | nawaza kuisema |
she spends money | anatumia pesa |
we suffered from that | tuliteseka |
they suggest that | sisi tunadokeza kuwa |
I surprised him | nilimshangaza |
she took that | alichukua hiyo |
we teach it | tunaifunza |
they told us | Walituambia |
she thanked him | alimshukuru |
I can think about it | nitafikiria kuhusu |
she threw it | aliitupa |
we understand that | tunaelewa hivyo |
they want that | wanataka hiyo |
I can wear it | naweza kuivaa |
she writes that | anaandika hivyo |
we talk about it | tunajadili kuhusu |
they have it | wanayo |
I watched it | niliitazama |
I will talk about it | nitaongea kuhusu |
he bought that yesterday | alinunua hiyo jana |
we finished it | tuliimaliza |
we spoke | tuliongea |
we wrote | tuliandika |
we drove | tuliendesha |
we loved | tulipenda |
we gave | tulipeana |
we smiled | tulitabasamu |
we took | tulichukua |
to succeed | kufaolu |
to sit | kuketi |
to fit | kufaa |
to be able | kuweza |
to accept | kukubali |
to accuse | kushtaki |
to agree | kupatana |
to alter | kubadili |
to annoy | kusumbua |
to answer | kujibu |
to appear | kutokea |
to ask a question | kuuliza |
to awaken | kuamaka |
to bathe | kuoga |
to bear fruit or childen | kuzaa |
to begin | kuanza |
to believe | kusadiki |
to blow | kuvuma |
to boast | kujisifu |
to boil (neutral) | kuchemka |
to boil (active) | kuchemsha |
to be born | kuzaliwa |
to strike | kupiga kofi |
to break | kuvunja |
to bring | kuleta |
to build | kujenga |
to burn (neutral) | kuwaka |
to burn (active) | kuchoma |
to bury | kuzika |
to buy | kununua |
to call | kuita |
to care for | kutunza |
to catch hold of | kukamata |
to be changed | kubadilisha |
to cheat | kudanganya |
to chew | kutafuna |
to choose | kuchagua |
to clap thehands | kupiga makofi |
to clean | kusafisha |
to climb up | kupanda |
to collect | kukusanya |
to command | kamuru |
to come near to | kukaribia |
to conqueor | kushinda |
to cook | kupika |
to cough | kukohao |
to cover | kufunika |
to cross over | kuvuka |
to crush | kuponda |
to cry | kulia |
to cultivate | kulima |
to cure | kuponya |
to cut; to cut down | kukata |
to decrease | kupungua |
to delay | kukawia |
to deny | kukana |
to destroy | kuharibu |
to dig | kuchimba |
to divide | kugawanya |
to do; to act | kutenda |
to drag | kukokota |
to draw a line | kupiga mstari |
to draw up water | kuteka maji |
to dream | kuota |
to drive away | kufukuza |
to get dry | kukauka |
to put out to dry | kuanika |
to enter | kuingia |
to escape | kuokoka |
to explain | kueleza |
to fail | kupunguka |
to fall | kuanguka |
to fear | kuogopa |
to feed | kulisha |
to fight | kupigana |
to finish | kumaliza |
to be finished | kuisha |
to fix | kukaza |
to flourish | kusitawi |
to fold | kukunja |
to follow | kufuata |
to forbid | kugombeza |
to forget | kusahau |
to forgive | kusamehe |
to get | kupata |
to get drunk | kulewa |
to get out | kutoka |
to ripen | kuiva |
to get up | kuondoka |
to get well | kupona |
to go | kuenda |
to go before | kutangulia |
to go; to come down | kushuka |
to greet | kuamkia |
to grind | kusaga |
to guard | kulinda |
to harm | kudhuru |
to hate | kuchukia |
to help | kusaidia |
to hear | kusikia |
to hide | kuficha |
to hinder | kuzuia |
to hold | kushika |
to hurt (active) | kuumiza |
to join | kuunga |
to judge | kuhukumu |
to jump; to fly | kuruka |
to kick | kupiga teke |
to kill | kuua |
to kill for food | kuchinja |
to know | kujua |
to be late | kuchelewa |
to laugh | kucheka |
to learn | kujifunza |
to leave | kuacha |
to take leave of | kuaga |
to life up | kuinua |
to light (fire; lamp; etc.) | kuwasha |
to listen | kusikiliza |
to look | kutazama |
to loosen | kulegeza |
to lose (active) | kupoteza |
to be lost (neutral | kupotea |
to lower | kushusha |
to make; to do | kufanya |
to marry a wife | kuoa |
to be married | kuolewa |
to measure | kupima |
to meet with | kukuta |
to melt (neutral) | kuyeyuka |
to miss | kukosa |
to mix | kuchanganya |
to order | kuagiza |
to overturn | kupindua |
to owe | kuwiwa |
to pain (neutral) | kuuma |
to pass | kupita |
to pay | kulipa |
to pick up | kuokota |
to play | kucheza |
to please | kupeneza |
to pour | kumimina |
to pound corn | kutwanga |
to praise | kusifu |
to pray | kuomba |
to prosper | kufanikiwa |
to pull; to draw | kuvuta |
to pull up | kung'oa |
to push | kusukuma |
to put | kutia |
to put on (clothes) | kuvaa |
to put our | kutoa |
to put out a light | kuzima |
to quarrel | kugombana |
to raise | kupandisha |
to reach | kufika |
to read | kusoma |
to receive | kupokea |
to refuse | kukataa |
to regret | kujuta |
to rejoice | kufurahi |
to remain over | kubaki |
to remain (in a place) | kukaa |
to remind | kukumbusha |
to rest | kupumzika |
to return; to go back | kurudi |
to return; to give back | kurudisha |
to roast | kuoka |
to rot | kuoza |
to be round | kuviringa |
to rub | kusugua |
to run | kupiga mbio |
to run away; to flee | kukimbia |
to save | kuokoa |
to scatter | kutawanya |
to scorn | kudharau |
to scratch | kukuna |
to see | kuona |
to search for | kutafuta |
to see one another | kuonana |
to send | kupeleka |
to sell | kuuza |
to sew | kushona |
to shake | kutikisa |
to shave | kunyoa |
to show | kuonyesha |
to sing | kuimba |
to sink | kuzama |
to sit down | kukaa kitako |
to sleep | kulala |
to smell nasty | kunuka |
to smell nice | kunukia |
to smell (active) | kunuza |
to be sorry | kusikitika |
to speak | kunena |
to spill | kumwaga |
to split (active) | kupasua |
to split (neutral) | kupasuka |
to spread (neutral) | kuenea |
to stand | kusimama |
to stay | kukuaa |
to steal | kuiba |
to strike; to beat | kupiga |
to suffice | kutosha |
to surround | kuzunguka |
to sweep | kufagia |
to swell | kuvimba |
to take | kutwaa |
to take away | kuchukua |
to take care | kuangalia |
to take off (clothes) | kuvua |
to teach | kufundisha |
to taste | kuonja |
to tear (cloth; etc.) | kutatua |
to tear in pieces | kurarua |
to tell | kuambia |
to think; to consider | kufikiri |
to think; to suppose | kudhani |
to throw away | kutupa |
to tie | kufunga |
to become tired | kuchoka |
to touch | kugusa |
to travel | kusafiri |
to try | kujaribu |
to turn (active) | kugeuza |
to turn (neutral) | kugeuka |
to uncover | kufunua |
to unfasten; to open | kfungua |
to wait | kungoja |
to walk about | kutembea |
to want | kutaka |
to wash | kuosha |
to wash clothes | kufua |
to wipe | kufuta |
to withhold from | kunyima |
to wash hands | kunawa |
to wonder | kustaajabu |
to worship | kuabudu |
to write | kuandika |