click below
click below
Normal Size Small Size show me how
Swahili jh #06
Swahili JH #6
Question | Answer |
---|---|
Barabara | Road(s), street(s) |
Barabara kuu | Highway(s) |
Basi | Bus |
basi (conj.) | so |
mabasi | buses |
duka | store |
maduka | stores |
gari | car |
magari | cars |
hoteli | hotel(s) |
jengo la ofisi | office building |
majengo ya ofisi | office buildings |
kanisa | church |
makanisa | churches |
karibu | nearby |
katikati ya mji | downtown (in the middle of the city) |
kituo cha basi | bus station |
vituo vya basi | bus stations |
kuchoka | to be tired |
kufika, kuwasili | to arrive |
kuhitaji | to need |
kuona | to see |
kuondoka | to leave |
kupanda | to climb |
kupumzika | to rest |
kuweza | to be able |
mbali | far |
mbuga | wildlife park(s) |
mkahawa | restaurant |
mikahawa | restaurants |
mlima, milima | mountain |
mnyama | animal |
wanyama | animals |
msikiti | mosque |
misikiti | mosques |
pesa, fedha | money |
safari | trip(s) |
sasa | now |
shilingi | shilling(s) |
soko | market |
masoko | markets |
treni | train |
matreni | train(S) |
ufuko, ufukwe, pwaa | beach |
fuko, fukwe, mapwaa | beaches |
uwanja wa ndege | airport |
viwanja vya ndege | airports |
-zuri, -a kupendeza, -a kuvutia | Good, pleasing, interesting |
Mabasi ya kuenda mjini yako wapi? | Where are the buses to your city? |
Hoteli yangu iko wapi? | Where is my hotel? |
Vipi ninaweza kuenda kituo cha treni? | How do I get to the train station? |
Kituo cha basi kiko wapi? | Where is the bus station? |
Nauli ni kiasi gani? | What's the fare? |
Kuna safari za kwenda mbugani? | Are there tours to the wildlife park? |
Ni mbali kutoka hapa? | Is it far from here? |
Alaa kumbe? | Is that so? |
Shukrani | Thanks |
Hiyo inapendeza | That is nice. |
Kahawa inapendeza | The coffee is delicious (nice) |
John yuko uwanja wa ndege | John is at the airport. |